Yanga Watoa Hii Mpya Waendelea Kujiweka Karibu Zaidi Na Mashabiki.



Klabu ya Yanga imeendelea kujiweka karibu na mashabiki wake kwa kuwarahisishia njia ya kupata taarifa mbalimbali kutoka ndani ya klabu hiyo kupitia simu za mkononi.

Klabu hiyo kwa sasa inawawezesha wapenzi wake kupata taarifa kwenye simu zao hata kama wanatumia simu ndogo (Kitochi)

"#baadayakumkamatamwizi..! #kimyakimya..!
Sasa tuko kiganjani kwako..!
Usipitwe na kila kinachojiri ndani ya #timuyawananchi #yangasc
TUMA NENO YANGA KWENDA NAMBA 15501"


UUsipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.