Waarabu Kuchezesha Mechi Ka Algeria Na Tanzania .
Mwamuzi wa kimataifa wa Misiri Ahmed Mahrous Hassan El Ghandour ndiye atakae kuwa mwamuzi wa kati akitafsalisheria 17 za kandanda kwenye mtanange kati ya Algeria na Tanzania.
Mwamuzi huyo atakuwa sambamba na waamuzi Ahmed Tawfik Taleb Ali na YoussefEl Bostaty huku mwamuzi wa mezani atakuwa ni Aouina kutoka geria na kamishna wa mchezo atakuwa Koussa Messaoud.
Ikumbukwe kuwa pambano hili litapigwa tarehe 22 majira ya saa 18:00
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.