Thomas Ulimwengu Na Faridi Mussa Washindwa Kutua Algeria
Washambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu na Farid Mussa washindwa kujiunga na timu ya taifa Taifa Stars ambayo ipo Algeria.
Kwa mujibu wa taarifa zinaeleza kuwa Ulimweng amakosa Visa ya kumuwezesha kusafiri kuelekea huko akitokea nchini Bosnia, wakati Farid atajwa kukosa ruhusa kutoka kwa klabu yake ya CD Tenerife ya nchini spain.
Wakati huohuo taarifa kutoka nchini Misiri zinaeleza kuwa nahodha wa Simba, John Bocco ameshindwa kwenda kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa kutokana na majeraha aliyoyaoata kwenye mchezo dhidi ya Al-masry na tayari ameanza matibabu chini ya dakitari na wa Simba.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.