"Siri Imefichuka" Mbinu Ya Njombe Mji Kuiangamiza Simba
Katika kuelekea pambano la ligi kuu Tanzania bara kati ya Njombe mji na Simba sc imebainika kuwa klabu ya Njombe mji imepanga kutoiruhusu Simba kuondoka na pointi 3 katika uwanja wake.
Katika kuhakikisha hilo Njombe Mji ambayo jana ilicheza Mchezo wa robo fainali ya Azam Sports Fedaration Cup dhidi ya Stand United, iliamua kutumia vijana ambao waliowengi hswapo katika kikosi cha kwanza ili kuepusha uchovu kwa nyota wa kikosi cha kwanza ambao watatumika kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba.
Njombe mji inastahili kupata ushindi ili kujinasua mkiani mwa ligi kuu na kujiweka kwenye nafasi nzuri.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.