Matokeo Ya UEFA Champions League, Manchester United Yatupwa Nje..


Klabu ya Sevilla imeikatia tiketi klabu ya Manchester United baada ya kuinyuka kwa jumla ya goli 2-1 na hivyo kuindosha kwa agrigate ya goli 2-1 kutokana na sare tasa walioioata mchezo wa kwanza Sevilla akiwa nyumbani.


Join us on WHATSAPP 
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.