Kagera Wajinasua Mkiani Wawanyuka Wababe Wa Simba


KAGERA YAANZA KUWAKIMBIA MWISHO

FT Kagera Sugar 1-0 Mwadui Fc
     26' Japheth Makalai

-Kagera Sugar imefanikiwa kushinda mechi ya ligi kuu Tanzania Bara (vpl) kwa goli moja kwa bila (1-0) dhidi ya Mwadui Fc.

-Ushindi huo umeifanya Kagera Sugar kupanda kwa nafasi 2 kutoka nafasi ya 14 hadi ya 12

Msimamo timu 6 za mwisho
11-Stand      =22
12-Kagera    =21
13-Mwadui  =20
14-Mbao      =19
15-Njombe  =18
16-Majimaji =16

>Njombe mji imecheza mechi 21 huku zingine zikiwa zimecheza mechi 22

-Ligi kuu ya Tanzania Bara (Vpl) kwa sasa itasimama  kwa wiki 2  kupisha mechi za kirafiki za timu ya Tanzania, Taifa Stars pamoja na Kombe la Azam Sports Federation Cup na itarejea April 06.



Join us on WHATSAPP 
 UsipitweNa Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.