APR Yakamilisha Mazoezi Kuwavaa Vijaa Kutoka Mali.
Kikosi cha APR FC kimejifua kwenye uwanja wa taifa Amahoro kwa ajili ya kujinoa kuikabili AC Djoliba katika mechi ya kombe la Shirikisho Afrika.
Kocha Mserbia Ljubomir ’Ljupko’ Petrović amejipa matumaini ya kuipiga AC Djoliba.
" Wachezaji wangu wako sawa na tuna matumaini tataibandua AC Djoliba nje, " Kocha Ljubomir ’Ljupko’ Petrović.
Nao AC Djoliba walitua Kigali siku ya jana Alhamisi.
Katika mchezo wa kwanza mjini Bamako, APR FC walichapwa bao 1-0.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.