Watatu Yanga Kuikosa Majimaji Ligi Kuu Kesho..
Klabu ya Yanga imekamilisha maandalizi ya mchezo kati yake dhidi ya Majimaji mchezo utakaopigwa kesho majira ya saa kumi jioni katika uwanja wa taifa.
Katika mchezo huo Yanga inatarajiwa kuwakosa nyota wake watatu ambao ni Yohana Mkomola, Amis Tambwe na Donald Ngoma huku mshambuliaj wa kimataifa wa Zimbabwe, Thabani Kamusoko akitajwa kuwa mmoja wa wachezaji watakaojumuika katika kikosi kitakachoshuka dimbani kesho.

Maandalizi yamekamilika, tuko tayari kwa mchezo wa kesho..!
Yohana Mkomola
Amissi Tambwe
Donald Ngoma
Ndiyo wachezaji pekee walisalia kwenye majeruhi na hawatakuwa sehemu ya mchezo kesho..!
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.