Simba Watua Salama Shinyanga

Kikosi cha Simba kimewasili salama, Mkoani Shinyanga tayari kwa maandalizi ya mchezo dhidi ya Mwadui FC. 

Mchezo huo dhidi ya Mwadui FC utachezwa tarehe 15.2.2018 katika dimba la Mwadui Complex saa 10:00 jioni. 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.