Samatta azidi kufumania nyavu, Genk ikitinga makundi ya Europa league.
Timu anayocheza Mtanzania Mbwana Ally Samatta KRC Genk imefanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya Uefa Europa League baada ya kufanikiwa kuitoa Brøndby kwa jumla ya magoli 9-4 baada ya mchezo wa awali kushinda kwa magoli 5-2.
makundi ya Uefa Europa league yatapangwa leo.
FT Brøndby 2-4 Genk Agg(4-9)
34' Wilczek 14' Malinovskiy
58' Larsson 32' N'Dongala
66' Dewaest
87' Samatta
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.