WASHINDI WA TUZO ZA MO SIMBA AWARDS 2018
👉Tuzo ya Benchi la Ufundi imekwenda kwa MaKocha
Pierre Lechantre Masoud Djuma
Mohammed Aymen benchi zima la ufundi la klabu hiyo .
👉Goli bora la mwaka la Simba SC mshindi n John Bocco ,goli alilofunga katika mchezo dhidi ya Mwadui FC .
👉Mchezaji Bora chipukizi wa klabu ya Simba SC Rashidi Juma
👉Mshambuliaji bora wa mwaka wa Mo Simba Awards 2018 ni Emmanueli Okwi bora
👉Kiungo Bora wa Mwaka Simba SC Tuzo imekwenda kwa Shiza Ramadhani Kichuya
👉Erasto Nyoni ameshinda tuzo ya Beki bora wa mwaka wa klabu ya soka ya simba .
👉Kipa Bora wa Mwaka klabu ya SimbaSC ni Aishi Manula
👉Mhamasishaji bora wa mwaka Simba SC ni Haji Manara
👉Tuzo ya Mhamasishaji bora wa mwaka kwenye mitandao ya kijamii imekwenda kwa Mwana FA na Salama Jabiri.
👉Tuzo ya Shabiki bora wa mwaka imekwenda kwa Marehemu Bi Fihi Kambi RIP.
👉Tuzo ya Tawi bora la Mwaka Simba SC imekwenda katika tawi la Ubungo Terminal.
👉Kiongozi bora wa Mwaka Simba SC tuzo imekwenda kwa Kaimu Rais wa klabu ya Simba SC Salimu Abdallah 'Try Again
👉Mchezaji bora wa Mwaka Captain John Bocco.
👉Mchezaji bora wa kike Zainabu Rashidi
👉Tuzo ya Heshima imekwenda kwa mchezaji wa zamani wa klabu ya soka ya Simba Suleiman Matola
👉Tuzo ya mchakato wa mabadiliko imekwenda kwa wote walio husika .
©Sokaplace2018
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.