Amka Na Tetesi Za Usajili Ndani Ya Klabu Ya Yanga Leo Alhamisi Juni 24
Imebainika mlinda mlango wa Singida United Manyika Jr ameamua kuachana na klabu yake hiyo baada ya kutokea sintofahamu baadhi ya malipo yake, Manyika ameamua aondoke rasmi kikosini humo na huenda akatua Yanga.
pia Yanga wanahusishwa kuitaka huduma ya aliyewahi kuwa kipa wao Deogratius Munishi Dida ambaye kwasasa anakipiga south africa
Aitha Taarifa zinaeleza kua Fransis Kahata na Meddie Kagere wote toka gormahia wamo katika orodha ya wachezaji wanaotakiwa na Yanga.
Kagere tayari amebakiza mkataba wa mwaka mmoja gormahia pia Yanga na Gormahia wameingia kwenye vita ya kumuwania Laudit Mavugo kwa msimu ujao
Pascal wawa na Juma Nyoso nao wanatajwa kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria wa VPL