Emmanuel Okwi Baada Ya Kukosa Penati.


Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amefunguka baada ya klabu yake ya Simba kutwaa ubingwa. Simba ilikabidhiwa kombe la ubingwa Jumamosi ya mei 19 na Rais John Magufuli huku timu hiyo ikilimwa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.