DEAL DONE: Kiungo JKU Asaini Mkataba Singida United


DEAL DONE: Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya JKU ya Zanzibar, Feisal Salum kesho mkoani Arusha atatambulishwa rasmi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Singida United.

-Wakati Singida wakitangaza kumalizana na Fei Toto klabu yake ya JKU imejitokeza na kusema Feisal Salum bado anamkataba na klabu hiyo kwani wanasema Fei alisaini mkataba wa miaka 5 na mpaka sasa ametumikia miaka 3 tu.

@yossima Sitta Jr.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.