Azam Yamtangaza Rasmi Pluijm Kuwa Kocha Mkuu.


Klabu ya Azam fc imemtangaza Hans van pluijm kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho na kuanzia msimu ujao pia timu ya Azam fc itakuwa ni kampuni, itatambulika kama AZAM FOOTBALL CLUB COMPANY LIMITED.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.