PICHA: Wachezaji Simba Wakipata Chakula Nchini Djibout

Wachezaji wa Simba sc ambao wapo nchini Djibout kumenyana na klabu ya Gendarmerie Nationale Fc 

Mchezo huo ni wa marudiano baada ya ule wabkwanza uliopigwa uwanja wa Taifa Dar. Ikumbukwe kuwa Katika mchezo wa awali simba iliibuka na ushindi wa goli 4-0.


 Pich wachezaji Simba wkipata chakula cha Usiku...





No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.