DONDOO NA TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO 28.02.2018
DONDOO ZA SOKA
👉Neymar Junior nje miezi miwili baada ya kuonekana tatizo la jeraha lake ni kubwa huku psg wakiingiwa na hofu kuelekea mchezo marudiano wa Uefa champion league dhidi ya Real madrid .
👉Madrid bila Ronaldo yapokea kichapo kutoka kwa Espanyol usiku wa kuamkia leo goli la espanyol limefungwa dakika ya 90 ya mchezo na Gerald moreno hapo jana kwa matokeo hayo Real madrid bado ipo katika nafasi ya tatu ikiwa na point zake 51
👉Kocha mkuu wa Psg Emery amekanusha uvumi wa kuwa nyota neymar junior kuwa atafanyiwa upasuaji kwa tatizo lake la Enka amsema kuwa bado Nyota huyo yupo chini ya ungalizi wa madaktari endapo kama kuna taarifa mpya mtajulishwa .
👉Kocha mkuu wa Liverpool Jürgen Klopp amesema timu yake itandeleza mwendelezo wa kufunga magoli mengi katika kila mchezo .
TETESI ZA SOKA MAJUU
👉Real madridi imehusishwa kutaka saini ya nyota wa klabu ya BayernMunich Robert Lewandowsk katika majira ya Kiangazi .
👉klabu ya soka ya Juventus nayo imehusishwa kutaka saini ya mchezaji kutoka liverpool Emre can katika majira ya joto .
👉klabu ya soka ya Real madrid imesema kuwa mchezaji wao Dani Ceballos amaweza kwenda Liverpool kwa mkopo majira ya kiangazi.
👉Klabu ya Chelsea imesema kuwa ipo tayari kumwachia Nyota wao Eden hazrd aende katika klabu ya Real madrid endapo kama uongozi wa klabu ya Real madrid utakubali kuwapa mchezaji wao casemiro kamasehemu uhamisho huo huku dau la nyota huyo mpaka sasa ni Euro million 100
👉Kocha mwingine aeleza kuwa anataka nafasi wa wenger pale Emirates kocha mkuu wa klabu ya Monaco Leonardo Jardim amesema kuwa anatamani kuifundisha Arsenal .
👉Mashetani wekundu wamehusishwa kuwinda saini ya beki wa kulia wa klabu ya Real sociedad Alvaro Odriozola ili wamsajili katika majira ya joto .
👉Klabu ya Borrusia Dortmund imeungana na vilabu vya Epl kuwinda saini ya nyota wa klabu ya soka ya Bordeaux Winga malcom .
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.