Timu Kutoka Tanzania Kushiriki Kombe La Dunia Mwaka Huu.



Timu ya Watoto mtaani TSC Academy kutoka Mwanza May 5 2018 imekabidhiwa Bendera ya Tanzania na Mkuu wa Mkoa John Mongellatayari kwa kwenda nchini Urusi kushiriki michuano ya Kombe la Dunia ya Watoto inayotarajiwa kuchezwa mwezi mmoja kabla ya Kombe la Dunia.


No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.