Simba Yakamilisha Kila Kiti Dar Sasa Kazi Ni Moja Tu Njombe.
Kikosi cha Simba leo jioni kimefanya mazoezi yake ya mwisho tayari Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Njombe Mji FC. Na baada ya mazoezi hayo sasa imebakia kazi moja tu ya kuhakikisha inaonfoka na pointi tatu katika mchezo huo.
Kikosi hicho kinatarajiwa kuondoka kesho asubuhi kuelekea Njombe tayari kwa mchezo wake dhidi ya huo wa ligi kuu Tanzania.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Aprili 3. 2018 katika uwanja wa Sabasaba Njombe.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.