Baraka Mpenja Amsifia Kichuya Atamani Assist Aliyotowa Angetangaza Yeye Ona Alichoandika Hapa @Sauti Ya Radi.


Mtangazaji wa kituo cha Azam Tv, Baraka Mpenja nae ameungana na wale wengi ealiompongeza Shiza Kichuya kwa kiwango bora alichoonuesha kwenye mchezo dhidi ya Dr Congo hapo jana.

Mpenja ambaye anasifika kwa utangazaji maridadi wenye kiwavutia watu kwa kipawa chake cha kumfanya kuvutiwa ameramani kama yeye angekuwa mtangazaji wa pambano hilo.

Kupitia ukurasa wake maalumu wa instagram ameandika posti mbila ambaza ameelezea kama angekuwa yeye angesemaje katika Assist aliyotoa Kichuya na golia alilofunga.


Hii Upande wa Assist.




Wakati anafunga goli
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.