Wababe Wa Simba Caf Confederation Cup Wabanwa Mbavu Gabon, Haya Hapa Matokeo Kamili Na Ratiba Ya Michuano hiyo Wikendi Hii..


Wawakilishi wa Misiri, Al Masry na Wawakilishi wa Gabon CF Mounana wametoshana nguvu kwa sare ya goli 1-1 kwenye mchezo wa awali wa play-off ya CAF Confederation Cup

CF Mounana maarufi kama "The Green Eagles" wao walifuzu hatua hiyo baada ya kuwaondosha Green Buffaloes kutoka Zambia huku Al masrywa waliiondoa Simba kutoka Tanzania.

Kwa matokeo hayo CF Mounana wanatakiwa kupata usjindi wowote ili kusonga mbele au sare ya goli kuanzia 2-2 na kuendelea huku Al Masry wao wakitegemea ushindi au sare tasa (suluhu) ili kusonga mbele.

MATOKEO KAMILI YA MICHEZO YOTE YA JANA CAF CONFEDERATIONI CUP AYA HAPA.
FT: CF Mounana 1-1 Al-Masry
FT: Rayon Sport 3-0 Costa do Sol
FT: Bidvest Wits 1-1 Enyimba

Hata hivyo michuano hiyo inatarajiwa kuendelea kwa leo na kesho ambapo ratiba kamili hii hapa.

Leo Jumamosi: 07 Aprili 2018.

Young Africans vs Welayta Dicha
 Zanaco vs Raja Casablanca
 Kedus St George vs CARA Brazzaville
 UDS Songo vs Hilal Obayed
 AS Vita Club vs CS La Mancha
 WAC vs Deportivo Niefang
Génération Foot vs RSB Berkane

Kesho Jumapili: 08 Aprili 2018

 Aduana Stars vs Fosa Juniors
Gor Mahia vs SuperSport United
Plateau United vs USM Alger
MFM FC vs Djoliba AC
ASEC Mimosas vs CR Belouizdad
Al Hilal Omdurman vs Akwa United
Video: Haya Hapa Magoli Yote CF Mounana vs Al Masry..



 Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.