Haji Manara Baada Ya Niyonzima, Tambwe Na Kamusoko Kufanya Mazoezi Pamoja Afunguka Haya..
Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amewamwagia sifa nyota wa klabu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, Amisi Tambwe na Thabani Kamusoko na hii ni baada ya video ambayo imekuwa ikisambaa mitandaoni ikiwaonyesha nyota hao wakifanya mazoezi Gym.
Video hiyo iliyoanza kusambaa jana mitandaoni iliwaonyesha watatu hao wakifanya mazoezi ya viungo Gym na Manara kutoa lake na kusema kuwa uhasama na utani wa jadi ni ndani ya dakika 90 mengine yanasababishwa na waliozifahamu timu hizo kupitia mitandao ya kijamii..
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.